Hii ndiyo Bei mpya ya umemeWAZIRI wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Salama Aboud Talib, amesema Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), limefuata taratibu zote hadi kufikia uamuzi wa kutangaza ongezeko la bei ya umeme kwa watejai.

Talib ametoa ufafanuzi huo baada ya baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kupinga ongezeko la umeme lililotangazwa na Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) hivi karibuni.

Mwakilishi wa Jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliwasilisha hoja binafsi mbele ya Baraza la Wawakilishi akiitaka serikali kusitisha mpango wa kuongeza bei ya umeme kwa wananchi kwani kufanya hivyo ni sawa na kuwabebesha mzigo mkubwa wananchi huku zikiwapo taasisi na Wizara za Serikali zikidaiwa malimbikizo makubwa ya madeni.

Akifafanua Talib alisema, Zeco iliomba kuongeza bei ya umeme kwa zaidi ya miaka miwili nyuma, lakini ilikataliwa kufanya hivyo kutokana na sababu za kiuchumi.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilshi, wameitaka serikali kuzibana wizara zake ili zilipe malimbikizo ya madeni yanayofikia Sh bilioni 21, ambayo shirika hilo la umeme inazidai taasisi mbalimbali za serikali na wizara.

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top