Hii Hurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke aliye poteza hisiaTendo la ndoa ni tendo lenye ladha ya aina yake na furaha isiyo elezeka, lakini kuna watu ambao hufanya tendo kwa hali ya kulazimisha sababu yumo ndani ya ndoa.

mana huwa hasikii hisia wala tamaa ya tendo. ambapo huweza kusababisha ndoa kuwa chungu ana usalitiwaji wa ndoa.

SABABU

KIMWILI
1.) upungufu wa damu na madini ya chuma kutokana na kupata hedhi
2.) kutumia madawa ya kulevya
3.) magonjwa makubwa kama kisukari

KISAIKOLOJIA
a) kufanya kazi kwa muda mrefu
b) kukumbwa na wasiwasi na huzuni sana
c)kua na historia ya kubakwa au kuchukizwa na mapenzi

TIBA YAKE

  • KUNGU MANGA robo kilo.  
  • KARANGA nusu.


KISHA CHANGANYA lakini kungu manga itabidi UTWANGE na karanga USITWANGE,
kisha tafuna pamoja  nusu saa au saa moja kabla ya kuanza kuingia katika jimai (TENDO LA NDOA).

utapata raha na hisia za ajabu na kufurahia tendo hilo. utadumu hivyo kwa siku 11 ukitumia tiba hii. na utapona inshaa Allah.

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top