Orodha kubwa ya mastaa wa Marekani imeapa kuihama nchi hiyo iwapo Donald Trump atashinda uchaguzi na kuwa rais.
Iwapo mgombea huyo wa chama cha Republican akishinda, mastaa kama Jon Stewart, Cher, Barbra Streisand, Samuel L. Jackson, Chelsea Handler na Lena Dunham wamesema watahamia Canada au nchi zingine duniani, lakini sio kuwa chini ya uongozi wa bilionea huyo mwenye mdomo mchafu.
“If he were elected, I’m moving to Jupiter,” aliandika muimbaji mkongwe, Cher.Kwa upande wake muigizaji mkombwe, Jackson alisema, “If that motherf- -ker becomes president, I will move my black ass to South Africa.”
Hata hivyo wapo mastaa ambao awali waliwahi kutoa ahadi kaka hizo wakazivunja pindi George W. Bush alipoingia White House mwaka 2000.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top