Mtandao wa Google umewatuza wanaotumia YouTube na kufuatiliwa na zaidi ya watu elfu 50 katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.
Millard Afrael Ayo na mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu Diamond kutoka Tanzania ni miongoni mwa watu 10 kutoka walioshinda tuzo hiyo hiyo.Mwandishi wa BBC,Esther Namuhisa alifanya mazungumzo na Millard Ayo kutoka Tanzania ambaye ni miongoni mwa washindi wa tuzo hizo.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top