Video ya ‘Salome’ Ndio Video Niliyolipwa Pesa Ndefu Kuliko Zote - Hamisa Mobetto
Modo wa kike kiwango Bongo, Hamisa Mobeto, amesema kuwa alilipwa pesa nyingi mno kuonekana kwenye ...
 
Modo wa kike kiwango Bongo, Hamisa Mobeto, amesema kuwa alilipwa pesa nyingi mno kuonekana kwenye video ya wimbo wa ‘Salome’ wa Diamond Platnumz.

Akizungumza kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Hamis amedai ndiyo video aliyolipwa mkwanja mrefu zaidi kuliko zote alizowahi kuzifanya. “Siwezi sema ni kiasi gani ila ni a lot of money” alisema Mobeto.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top