HAMISA MOBETO ADAI YEYE NA ZARI HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI, ANYOOSHA MAELEZO KUMJUA KWAKE | Masama Blog


HAMISA MOBETO ADAI YEYE NA ZARI HAWAJAWAHI KUWA MARAFIKI, ANYOOSHA MAELEZO KUMJUA KWAKE


Mrembo na Queen wa Video za Bongo Flava,
Hamisa Mobeto, amekanusha tetesi zinazoenea mitandaoni kuwa ana uhusiano wa Kimapenzi na Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm juzi Jumamosi, Hamisa amedai kuwa anamfahamu mpenzi wa Msanii huyo Zari kwa kuwa ni Mzazi mwenza wa Platnumz.“Unajua huwezi kusema mi na Zari tuko sawa au hatupo sawa kwa sababu hatujawahi kuwa marafiki na mi nimemjua kwa sababu ‘Kazaa’ na Bosi wangu (Diamond Platnumz).
The Only thing nimewahi kumuona Zari kwenye 40 ya Tiffah, We are not Friends We are not enemies, Diamond ni Bosi wangu aliwahi niajiri mimi kuandaa Birthday ya Mama yake.” Alisema.
Katika Hatua nyingine Hamisa alilazimika
kufunguka kwa Undani ukaribu wake na Familia ya Diamond akiwemo Mama yake kuliko hata Mama Tee, Zari The Bosslady.
“Unajua mpaka Mwanamke kuingia kwenye Nyumba ya Mwanamke mwingine, it means Babu na Bibi wameruhusu, mimi siwezi kujua wameongea nini kitu gani, ninacho jua nilipewa kazi na nikadeliver”alimalizia Hamisa Mobeto.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200