FULL VIDEO: ALIKIBA PERFOMANCE FIESTA 2016 DAR ES SALAAM | Masama Blog

FULL VIDEO: ALIKIBA PERFOMANCE FIESTA 2016 DAR ES SALAAM

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ni miongoni mwa mastaa wa bongo waliomiliki stage ya Tamasha la FIESTA 2016 Dar es salaam na kutumbuiza, kwenye hii video ame-perform ‘aje‘ , ‘mwana‘ na hits nyingine

Back To Top