FAHAMU KUHUSU MAJUMBE 270 WANAOAMUA URAIS MAREKANI NJE YA KURAJana November 8, 2016 Wamarekani wanafanya uamuzi wa mwisho kupitia karatasi zenye alama ya tiki kwenye mabox ya kura ili kumpata mshindi ambaye atakuwa Rais wa 45 wa taifa hilo atakayeongoza kwa miaka minne. 
Pamoja na kura zote zitakazopigwa na Wamarekani leo, bado hazina maamuzi ya moja kwa moja mpaka pale wajumbe 538 wanaoteuliwa kutoka katika majimbo yote 50 nchini humo watakapoamua kupitisha jina moja la mshindi wa Urais.
Kwa mujibu wa sheria za Urais Marekani, ili mgombea athibitishwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais inabidi apate sio chini ya kura 270 kutoka kwa wajumbe hao 538 ambao huamua mshindi kwa namna watu walivyopiga kura katika majimbo mbalimbali.
Hillary Clinton na Mumewe Bill wakipiga Kura.
Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2012, Barrack Obama alipata ushindi baada ya kuchaguliwa kwa kura zaidi ya Milioni 65 za raia wa nchi hiyo huku mpinzani wake Mitt Romney akipata zaidi ya Milioni 60 ambapo baada ya kura za Wajumbe kupigwa, Obama alipata ushindi wa Wajumbe 332, Romney 206.
Wajumbe walivyopiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2012
Wakati kura zimeshaanza kupigwa nchini humo inaelezwa kuwa kuna majimbo ambayo ni ngome ya chama cha Republican sawa na Democratic lakini kuna majimbo mengine kama Florida, Pennsylvania na Ohio ambayo hayana mshindi wa jumla, hayo ndio majimbo ambayo yataamua mshindi.
Pamoja na kumchagua Rais siku ya leo Jumanne raia wa Marekani wanapiga kura kuwachagua wawakilishi 435 watakaofanya kazi kwa muda wa miaka miwili.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top