Mkali wa wimbo Salome, Diamond Platnumz ameonyesha sample yake ya kwanza ya bidhaa yake mpya ya perfume ‘ChibuPerfume’ inayotarajiwa kuingia sokoni siku za usoni.

Muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa tayari kwa ajili ya ujio wa bidhaa hiyo ambayo itapatikana katika maduka mbalimbali ya vipodozi nchini.

Kupitia facebook, Diamond ameandika:
About to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will be in your favorite store!

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top