Baada ya msanii mrembo Lola Rae Kupata shavu kutoka kwa Davido kwenye wimbo wake wa Biko, Bahati ya mtende bado imeendelea
Mrembo huyo ameweza kupata shavu la kusainishwa kwenye label na Super star huyo aliyetamba na ngoma kama Skelewu, Aye na ngoma nyingine kali.
Mapema mwanzoni mwa wiki hii,Davido aliposti kwenye ukurasa wake wa Instagram Picha yake na kuandikia maneno “LOLA RAE WELCOME TO DMW!!! 1ST LADY !!!”
Screenshot_2016-11-06-17-42-28-1
Akiashiria kumkaribisha kwenye familia hiyo ambayo mpaka sasa inawanafamilia watatu tu na akiwa ni Mwanamke wa kwanza kwenye lebo yake ya DMW.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100 
Top