Dalili za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo na Tiba yake | Masama Blog


Dalili za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo na Tiba yake

Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo, kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo, tukasoma tena kuhusu chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo, na leo tunaendelea kuangalia dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

Dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo

Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;

 1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
 2. Kuuma mgongo au kiuno
 3. Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
 4. Kizunguzungu
 5. Kukosa usingizi
 6. Usingizi wa mara kwa mara
 7. Maumivu makali sehemu ya mwili
 8. Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
 9. Kichefuchefu
 10. Kiungulia
 11. Tumbo kujaa gesi
 12. Tumbo kuwaka moto
 13. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
 14. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
 15. Kutapika nyongo
 16. Kutapika damu au kuharisha
 17. Sehemu za mwili kupata ganzi
 18. Kukosa hamu ya kula
 19. Kula kupita kiasi
 20. Kusahahu sahau na
 21. Hasira bila sababu.

Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.

KAMA UNAHITAJI KUTIBU NA UPONE KABISA VIDONDA VYA TUMBO TUPIGIE 0625539100

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200