King of the Best Melodies pia ni Mfalme wa masauti, Christian Bella, aweka wazi ukweli kuhusu Nijuengoma anayo sikika yeye pamoja na Weusi.

Christian Bella
Huenda umeshakutana na ngoma inayotajwa ni collabo kati ya christian bella na weusi inaitwa ‘Nijue’.Sasa cha kushangaza hakuna nguvu yoyote ya kupromote inayo onekana kutoka kwa upande wowote kati ya zilizoshiriki kuitengeneza.
Bella ameiambia Planet bongo ya EA Radio kuwa ngoma ile haikuwa rasmi na ilikuwa bado hawaja panga kuitoa ila akaja kukutana nayo mitandaoni.
Hata hivyo bella amesema anazo collabo nyingi na wasanii kibao wakiwemo member wote wa weusi na ngoma nyingine amefanya na Darasa.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top