CHEMICAL AFUNGUKA HAYA KWA WATU WASIOAMINI KUWA YEYE BADO ‘BIKIRA’ | Masama Blog


CHEMICAL AFUNGUKA HAYA KWA WATU WASIOAMINI KUWA YEYE BADO ‘BIKIRA’

Baada ya Rapper wa kike Bongo mwenye swagga za hatari, Chemical kufunguka na kusema kuwa yeye bado ni bikira (hajawahi kujigijigi tangu azaliwe).
Sasa mapya yaibuka kwa watu mbalimbali kwa kuto kumuamini kwa kusema yeye bado hajawahi kuguswa na mwanaume.
 
Chemical
Rapa Claudia ‘Chemical’ Lubao, amesema anashangaa kuona watu hawa muamini anaposema yeye hajawahi ‘Kuvunja amri ya sita’ tangu azaliwe.
Akiongea kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm jana, Chemical amedai yeye anataka kuutunza ‘Usichana’ wake mpaka pale atakapo ona inafaa.
“Sijawahi kufanya Mapenzi hata siku moja, nimeachana na Mpenzi wangu kwa sababu hataki kusubiri, nipo single sasa hivi.
”Sijui watu kwa nini hawa amini, wanahisi ni kitu ambacho hakiwezekani aisee” alimaliza chemical.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200