CHECK PICHA KALI ZA RAIS OBAMA KATI YA PICHA MILIONI 2 AKIWA RAIS WA MAREKANI | Masama Blog


CHECK PICHA KALI ZA RAIS OBAMA KATI YA PICHA MILIONI 2 AKIWA RAIS WA MAREKANI

 
Pete Souza ni mpiga picha rasmi wa Obama ambaye imeelezwa kuwa amepiga picha za Barack Obama takribani milioni mbili. Mpiga picha huyo ameachia picha 55 ambazo alimpiga Rais wa Marekani, Barack Obama kwenye matukio tofautitofauti ambazo yeye amezipenda zaidi na anazikubali sana.Kati ya hizo 55 ambazo mpiga picha huyo wa Ikulu ya White house ameweka wazi kwamba anazikubali 55, nimekuwekea hapa 25 unaweza kuzipita hapa pia usiache kuniandikia comment yako ukiniambia ipi umeikubali zaidi…     BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200