Calisah Aachiwa Baada ya Kulala Polisi Kwa Tuhuma ya Kusambaza Video ya Utupu ya Wema Sepetu | Masama Blog


Calisah Aachiwa Baada ya Kulala Polisi Kwa Tuhuma ya Kusambaza Video ya Utupu ya Wema Sepetu

Mode Calisah ameachiwa jioni hii baada ya siku ya jana kushikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kusambaza mitandaoni video ya utupu ya Wema Sepetu.

Akiongea na Bongo5 jioni kwa njia ya simu wakati akielekea nyumbani kwake, Calisah alisema ni kweli alikamatwa toka jana kutokana na tuhuma za kusamba video hizo mtandaoni.

“Kweli nilikamatwa toka jana lakini nimeachiwa,” alisema Calisah.

Pia model huyo amesema atatoa taarifa zaidi ya nini kinaendelea kuhusu suala hilo.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200