Boniface Jacob Ashinda ‘Umeya’ Manispaa ya UbungoDiwani wa Kata ya Ubungo ambaye pia alikuwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kabla madiwani wake hawajagawanyika, Boniface Jacob ameshinda katika uchaguzi wa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo uliofanyika mapema leo mchana.

Mhe. Boniface Jacob kupitia Chadema ambaye pia anaungwa mkono na UKAWA ameshinda kwa kura 16 kati ya kura 18 za wajumbe.

Matokeo hayo yametangazwa na katibu wa mkutano huo DED Kayombo na yalikuwa kama ifuatavyo;

Nafasi ya Naibu Meya wapiga kura walikuwa 18, Kura halali zilikuwa 18, kura zilizoharibika 0.

Abdul Lema wa CCM amepata kura 3, Kwangaya Ramadhani wa Ukawa amepata kura 15 hivyo Kwangaya Ramadhani (Ukawa) ndiye Naibu Meya wa almashauri ya Manispaa ya Ubungo.

Nafasi ya Meya Wapiga kura walikuwa 18, Kura zote halali zilikuwa 18, Kura zilizoharibika ni 0.

Yenga CCM alipata kura 2 huku Boniface Jacob akipata kura 16.

Kwa matokeo hayo, Mhe. Boniface Jacob ndiye Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top