BLACK CHYNA NA ROB KARDASHIAN WAMEMPOKEA MTOTO WAO KWA “MANNEQUINCHALLENGE” | Masama Blog

BLACK CHYNA NA ROB KARDASHIAN WAMEMPOKEA MTOTO WAO KWA “MANNEQUINCHALLENGE”

Rob Kardashian na Blac Chyna wamemkaribisha mtoto wao wa kwanza wa kike na kumpa jina la “Dream.”, Sasa wakati wakiwa wanajiandaa kumkaribisha mtoto huyo wa Kike, Rob kardashian, black chyna na wingine kibao wakafanya challange ya “Mannequinchallenge” wodini.
Mannequin Challenge ndio habari ya mjini katika mitandao ya Kijamii, challenge hii huwa inawaonyesha watu wakiwa katika pozi la kuganda wakiwa wanafanya jambo flani hivi ambalo linakuwa kama stori, Challenge hii imetokea katika wimbo wa Rae Sremmurd’s “Black Beatles” ft. Gucci Mane.Sasa Black Chyna, Rob Karadashian pamoja na familia yao wamefanya challenge hiyo wakiwa wodini.

Back To Top