“Dont Call me Lover Boy” Barnaba anakwambia hivyo katika ngoma yake ya “Lover boy” inayofanya vizuri kwasasa, Barnaba ameamua kutufungukia ujio wa Mh.Nape Nauye katika studio yake na kutupa details kupitia kipaza sauti cha 255
Ebhana kama utakumbuka vizuri kabisa mwezi uliopita Barnaba alifanyiwa ziara ya ghafla lakini sio ya kutumbuliwa jipu kama wengi ambavyo tumezoea, alifanyiwa ziara ya waziri wa Habari Nape Nnauye na wakazungumza mambo mengi sana yanayo husu kitaifa na kijamii.
Akiongea na Perfect255 Barnaba alisema kwamba Nnape Nauye alikuja ofisini kwake kama mtu ambaye wanafaamiana kwa muda mrefu katika tasnia ya muziki wa bongo fleva, kikubwa ambacho kilichofanya ujio wa Nape Nnauye ni kuja kutupa ushauri na vilevile kutembelea studio ya Barnaba kwasababu alisikia kwamba Barnaba amefungua studio, kingine kikubwa pia alikuwa amemletea kazi ambazo zilipaswa kufanywa na Barnaba.
Msikilize zaidi Hapa Barnaba

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top