Image result for mwanafunzi imageMzee mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 anatuhumiwa kwa kesi ya ubakaji huku mkewe nae akiwa na tuhuma za kupiga na kujeruhi.
Hii imetokea huko Mkoani Tanga baada ya mke wa Mzee huyo kumfumania Mumewe akiwa na mtoto wa shule mweye umri wa miaka 14.Baada ya kuwafumania mama huyo alianza kumpiga mwanafunzi huyo hadi kumjeruhi.
Kwa mujibu wa Mama wa mtoto huyo pamoja na mjomba wanasema taarifa za mtoto wao kubakwa walizijua baada ya watoto wa mzee huyo (mbakaji) kuja nyumbani kwao na kumtaka binti yao.Baada ya mtoto huyo kutoka walimchukua na kwenda nae mbali na nyumbani kwao kwa dhumuni lakutaka kumjeruhi na viwembe kwakile walichoambiwa na mama yao kuwa huyo binti amemfumania na baba yao na ndiye anayesababisha mamayao asipewe matumizi na babayao.
Watoto hao wa huyo Mzee baada ya kumuona mtu mwenyewe ni mtoto mdogo walishindwa kumfanya chochote nakumuachia.Ndipo Mama mdogo wa mtoto huyo alipoingilia na kuwauliza shida yao haswa ndipo wakasema kuwa walikuja kumjeruhi na viwembe kwakuwa wameambiwa na mama yao kuwa huyo mtoto anatembea na babayao.
Mamamdogo alirudi nyumbani na mwanae na kwenda kuwaeleza ndugu zake ndipo mtoto akawekwa kitimoto na kuulizwa kuhusu huyo mzee na mtoto akakiri kweli ametembea nae na mzee huwa anamlaghai kwa kumpa elfu moja ya shule kila siku.
Na siku hiyo ya mwisho ndipo mkewe alimkuta mtoto huyo akitoka ndani kwa mumewe akaamua kumpiga mtoto huyo hadi kumjeruhi kisha jioni akawahadithia watoo wake ndio wakaana safari ya kwenda kutafuta binti huyo.
Kwa sasa Mke wa Mzee huyo yupo Mahabusu kwa kosa la kupiga na kujeruhi huku mzee mwenyewe akiwa nje kwa dhamana.
Sikiliza hapa kisa kizima
Sisi tunajua anatoka asubuhi anaenda zake shule kumbe anatoka asubuhi anawahi kwa huyo Babu,Imekuja kugundulika jumatano asubuhi anaenda shule yule babu anampa hela kichochoroni ndipo mkewe akamshika nakuanza kumshambulia kumpiga na kumng’ata,usiku wakaja watoto wa huyo babu nyumbani kumuulizia Joy

Audio Player
00:00
00:00
Use Up/Down Arrow keys to increase or decrease volume.
Mjomba wa mtoto
Huyu babu alimrubuni siunajua tena watoto wa kike akawa anajiandaa saa kumi na moja asubuhi anaenda kwa yule babu kila siku ikifika saa moja ndio anaenda shule,wameanza tangu January mpaka sasa hivi,huyu babu na mkewe hawana mawasiliano mazuri kila mtu analala chumba chaje...
Audio Player
00:00
00:00
Use Up/Down Arrow keys to increase or decrease volume.
Walisema sisi hapa tumekuja nia yetu nikumpiga Joy hivi hapa viwembe ilikuwa kwa kumkatakat…
Mtoto kuhojiwa akasema kweli huyu mtu tangu mwezi wa kwanza nikipita ananipa hela ya shule elfu moja kisha ndio ananiingiza ndani kwake….

Audio Player

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top