Aunt Ezekieli Ajibiwa, Mose Iyobo ni Mwanaume Mzuri Kuliko Wanaume Wote? | Masama Blog


Aunt Ezekieli Ajibiwa, Mose Iyobo ni Mwanaume Mzuri Kuliko Wanaume Wote?

Msichana ambaye aunt Ezekiel alikuwa anadai anataka kunyang'anya mume amemjia juu na kudai hana mpango huo na yupo karibu na mose Iyobo kwa sababu wamezaa pamoja mtoto
Msichana huyo amesema tayari nae ana bwana na kumhangaa anti Ezekieli kuzusha maneno anaibiwa bwana na kumuuliza kwani mose iyobo ana fedha kuliko wanaume wote au ni mzuri kuliko wote hadi yeye amnyang'anye?? VIDEO:

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200