ANGALIA PICHA ZA HAYA MAAJABU MAPYA YALIOINGIA KWENYE KITABU CHA GUINESSPaka mrefu zaidi: Akiwa na urefu wa futi 3ft 10.6in, Ludo anaishi na mmiliki wake Kelsey Gill huko Ryhill, West Yorkshire. Anasema: ‘Ni rafiki wa wote lakini baadhi ya wageni humuogopa sababu wamezoea kuona mbwa mwenye ukubwa kama wake’
Kama unataka ushangazwe na maajabu ya dunia, basi kitabu cha Guinness World Records hakina mpinzani. Kimesheheni mambo, watu, vitu na vingine vinavyoweza kukuacha mdomo wazi.
Mwanamke mwenye umri mdogo aliye na ndevu nyingi: Harnaam Kaur wa Uingereza, ana ndevu zenye urefu inchi sita. Ana umri wa miaka 24
Kitabu kipya, toleo la 62 kwaajili ya mwaka 2017 kimetoka kikiwa na maajabu zaidi ya 4,000. Kitabu hicho kimeingia sokoni Alhamis hii na kinauzwa kwa £20. Haya ni baadhi ya maajabu yaliyomo kwenye kitabu hicho kipya.

Maxwell Day, 14, anaweza kuizungusha miguu yake kwa nyuzi 157

Mbwa mwenye mkia mrefu zaidi: Keon ana mkia wenye urefu wa inchi 30.2. Anaishi Ubelgiji

Mtu aliyevutwa na farasi umbali mrefu zaidi akiwa amewashwa moto. Josef Todtling wa Austria, alivutwa umbali wa futi 1,640 akiwa amewashwa moto mwili mzima. Alikuwa amevaa nguo nyingi. Ameshikilia rekodi kwa kutumia dakika 4 na sekunde 41

Domo Kubwa: Bernd Schmidt, 47, wa Wendlingen, Ujerumani anaweza kuufungua mdomo wake kwa upana wa inchi 3.46

Mabonge ya ice cream yaliyopangwa kwa wiki bila kuanguka. Rekodi hii inashikiliwa na Dimitri Panciera, 54 wa Italia. Alirundika mabonge 121

Mbwa jike mrefu kuliko wote duniani. Dane Lizzy, ana urefu wa inchi 37.96 na anaishi Alva, Florida, Marekani

Mkusanyiko mkubwa zaidi wa vitu vinavyohusiana na hamburger. Harry Sperl (aka Hamburger Harry) kutoka Ujerumani amekusanya vitu 3,724

Mtu mwenye umri mkubwa mwenye tattoo nyingi zaidi: Ms Guttenberg, 67 amejichora asilimia 91.5 yake mwili wake
3805dcf700000578-3778734-image-a-30_1473318169840


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top