ANGALIA PICHA YA MWANAMKE MWENGINE AKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKIWA NA MIMBA BANDIA ILIYOKUWA NA MADAWA YA KULEVYA | Masama Blog


ANGALIA PICHA YA MWANAMKE MWENGINE AKAMATWA UWANJA WA NDEGE AKIWA NA MIMBA BANDIA ILIYOKUWA NA MADAWA YA KULEVYA


Kila kukicha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya inazidi kupamba moto, wakati mataifa mbalimbali yakizidi kuimarisha udhibiti wa biashara hiyo, na wafanyabiashara hiyo wanazidi kuja na mbinu mpya za kusafirisha dawa hizo.

Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo mbili za dawa za kulevya aina ya Cocaine.

Polisi wa uwanja wa ndege wa Bogota Colombia alimshtukia mwanamke huyo raia wa canada Tabitha Leah Ritchie aliyeonekana kuwa na tumbo lisilo la kawaida ndipo baada ya kumkagua wakakutana na dawa hizo

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200