ANGALIA PICHA YA MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE | Masama Blog


ANGALIA PICHA YA MTUMIAJI WA FACEBOOK MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WOTE


Inaaminika kuwa  Ms Maria Seguar-Metzgar Pichani mwenye umri wa miaka 105 yawezekana ndo mtumiaji wa Facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote Duniani.Ms Maria alisherehekea siku yake ya kuzaliwa wiki iliyopita ya kutimiza miaka 105, huku akiwa na marafiki 86 kwenye Facebook

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200