ALLY CHOKI: NITAPUMZIKA LAKINI SITAACHA MUZIKI | Masama Blog


ALLY CHOKI: NITAPUMZIKA LAKINI SITAACHA MUZIKI

Mwanamuziki nguli wa muziki wa Dansi nchini, Ally Choki ambae bado anafanya vizuri kwenye ramani ya muziki wa dansi kutokana na umahiri wake katika nyimbo zake pamoja akiwa stejini.
Jumamosi hii mwanamuziki wa dansi nchini

tanzania Ali Choki ametimiza miaka 30 ya muziki wake na amewashukuru wasanii ambao
alishirikiana nao katika kipindi chote hicho cha muziki wake.

allychoki_official-20161129-0001
Akiongea ndani ya eNewz Ali Choki amesema

anashukuru kwa ‘kampani’ aliyoipata kutoka kwa wanamuziki wenzake kama Zahir Zoro, Komando Hamza Kalala na wengine lakini pia aliamua kupiga nyimbo za Extra Bongo ili kuonesha maana ya halisi ya miaka 30 ya Choki.
Hata hivyo Choki amesema huenda aka pumzika baada ya miaka 20 ijayo mbele japo hawezi kusema rasmi kwamba ataacha muziki kwa kuwa siyo rahisi kustaafu muziki kwani muziki ni kipaji chake labda akifikisha miaka 50 ya muziki.

SHARE


BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200