ALIYEBAKWA NA KUUAWA ARUSHA NI MWINGINE SIO MIMI ASEMA LILIAN | Masama Blog

ALIYEBAKWA NA KUUAWA ARUSHA NI MWINGINE SIO MIMI ASEMA LILIAN


November 3 2016 zilisambaa stori za kuuwawa kwa mrembo Lilian ambaye ni miongoni mwa waliotokea kwenye video ya wimbo wa Diamond na Rayvanny ‘salome’Ukweli ni kwamba Lilian sio Msichana aliyeuwawa, aliyeuwawa ni mwingine huko Arusha na Polisi wamethibitisha kuuwawa kwake baada ya
 kutoka kwenye birthday party, unaweza kumtazama Lilian kwenye hii video hapa chini.

Back To Top