Ajali Mbaya..Gari Lagonga Treni na Kuua Watu Wawili | Masama Blog


Ajali Mbaya..Gari Lagonga Treni na Kuua Watu Wawili

AJALI: Gari aina ya Prado ikielekea Ifakara jana saa 7 mchana iliigonga Treni eneo la Kiberege watu wawili waliokuwa kwenye Prado walifariki papo hapo.

Kwa mujibu wa shuhuda mmoja anadai kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ambapo alikuwa anavuka reli pasipo kutizama kama kuna treni

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200