Aika Aanika Siri ya ‘Kutoka’3
MSANII ambaye ni mmoja wa wamiliki wa Lebo ya The Industry, Aika Mareale akiwa pia memba wa Kundi la Navy Kenzo, ametoboa siri ya kutoka kwake kisanaa kuwa ni kutojidharau.
Akizungumza na Risasi Vibes, Aika ambao ambaye anaunda kundi hilo akiwa na mpenzi wake, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’, akiwa anatamba na kibao chake cha ‘Kamatia Chini’ alisema wakati anaanza muziki hakuwa na matumaini ya kufika alipofikia, lakini hakutaka kujidharau licha ya kazi zake kutosikika.
“Unajua vile zamani unafanya kitu hakisikiki, unahangaika ili muziki wako ufahamike, lakini kamwe sikutaka kujidharau ndiyo maana mpaka sasa nimeweza kuwa mmoja wa mastaa kwenye jamii,” alisema Aika.


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top