Israel kubadilisha kanuni ya marufuku ya sauti kubwa za adhana

Mabadiliko hayo yataruhusu adhana kutolewa kupitia vipaza sauti kati ya saa 7.00-23.00 pekee. Kwa kifupi, adhana ya swala ya asubuhi itaendelea kuzuiwa nchini humo.

Israel iliamua kutangaza mabadiliko hayo baada ya kupingwa na chama cha Kiyahudi cha Yahudot HaTora chenye itikadi kali za kidini.

Waziri wa afya Yaakov Litzman ambaye ni mwanachama wa Yahudot HaTora, alitoa maelezo na kuarifu kupinga marufuku hayo kwa kuhofiwa yanaweza pia kuathiri shughuli zao za kiibada.

Madabiliko hayo pia yanalenga kuathiri Waislamu pekee na kutojumuisha ibada za Kiyahudi nchini humo

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top