ZIFAHAMU KAZI 3 ZA ALIKIBA AMBAZO ZITAACHIWA KABLA YA MWAKA HUU KUISHA. | Masama Blog


ZIFAHAMU KAZI 3 ZA ALIKIBA AMBAZO ZITAACHIWA KABLA YA MWAKA HUU KUISHA.

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba ameweka wazi ni ngoma gani zinazomuhusu yeye ambazo zinatarajiwa kuachiwa hivi punde kabla ya mwaka huu haujaisha.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alikiba amefunguka kuwa kuna projects 3 ambazo zinatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.
Ya kwanza ni wimbo ambao kashirikishwa na Ommy Dimpoz unaoitwa “Kajiandae”, pia kuna ngoma yakwake mwenyewe ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibu ni na kisha kuna mipango ya kurejea kwa Kiba Square wakiwa na kazi mpya.
Itazame hapa chini hii video kumsikiliza mwenyewe akifunguka kuhusiana juu ya suala hilo.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200