WHO WORE IT BETTER???THE BURBERRY CHECKED CAPE COAT | Masama Blog


WHO WORE IT BETTER???THE BURBERRY CHECKED CAPE COAT

The designer cape from  Burberry  cape coat wanavaa sana kwenye FALL watu na miji yao yenye baridi so hii cape coat kila mtu ataivaa apendavyo lakini inatumika sana kujikinga na baridi badala labda ya kuvaa sweta au koti unavaaa hii ni sawa na kuvaa Massai Blanket yako.
Na hizi cape coat nlichopenda ni ukinuunua wana stamp ur initials .
-burberry-cape-rosie-huntington-whiteley-lgn-elv (6)

SARAH JESSICA PARKER

yeye alivaa ya kwake na skinny jeans
-burberry-cape-rosie-huntington-whiteley-lgn-elv (3)

ELENA PERMINOVA

Elena alitinga na over the knee boots kavaa na kigauni kifupi
-burberry-cape-rosie-huntington-whiteley-lgn-elv (5)

SUKI WATERHOUSE

Huyu alifanya layering ya nguvu maana ndani kuna jeans na coat juu akamailizia na hii cape coat kwa juu
-burberry-cape-rosie-huntington-whiteley-lgn-elv (7)

CARA DELEVINGNE

Model Cara katinga boots,skinny Jeans na v neck sweater
-burberry-cape-rosie-huntington-whiteley-lgn-elv (1)

ROSIE HUNTINGTON-WHITELEY

Rosie kapair her cape coat na skinny jeans na grey over the knee boots

00510h_1280x1920
CARA DELVINE hii ilikuwa kwenye fashion show alivaa na  sheer floral dress

olivia

OLIVIA PALERMO

The ever stylish Olivia wore hers na shorts ,checkered shirt na boots

15212273453_1de2d87b3c_b
BLOGGER  KILEEN
Jeans ,sweater ,kofia Charlotte-Wiggins-Jean-Campbell-Matilda-Lowther-and-Sam-Rollinson-wearing-Burberry-Monogram-Poncho-17th-February-2014-1


BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200