VIDEO:Msikie huyu Kijana Aliyetobolewa Macho Mawili Ameelezea ilivyokuwa Siku ya Tukio Huko Buguruni | Masama Blog

VIDEO:Msikie huyu Kijana Aliyetobolewa Macho Mawili Ameelezea ilivyokuwa Siku ya Tukio Huko Buguruni

Leo October 2 2016 Ayo TV pamoja na millardayo.com ilifika nyumba kwa kijana ambaye alipoteza macho yake mawili baada ya kuchomwa na visu na mtu aliyejulikana kuwa ni kibaka maeneo ya Buguruni.

Sid Ally alikuwa akisimulia tukio hilo mbele ya  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda…’Nilikuwa natoka kazini majira ya saa nne usiku nikawa nimesimama maeneo ya Buguruni na nunua Kuku kwa ajili ya kupeleka nyumbani ndio alipokuja mtu kwa nyuma yangu na kuomba nimsaidie‘

‘Baada ya muda yule mtu akanichoma kisu kwenye bege langu nikawa na piga kelele watu wanisaidie lakini sikupata msaada pale watu wote walikuwa wananiangali tu‘ Said Ally


Back To Top