Video: Temba asema amejipanga kubeba mikoba ya Fella | Masama Blog

Video: Temba asema amejipanga kubeba mikoba ya Fella

Temba
Baada ya Mkurugenzi wa Yamoto Band na Mkubwa na Wanae Foundation kuweka wazi mpango wa kumkabidhi majukumu ya uongozi Mh Temba, Temba amesema ameipokea kwa mikono miwili majukumu hayo.

Rapper huyo aliimbia Bongo5 kuwa hatamuangusha bosi wake huyo kwani amejipanga kikamil

Back To Top