Video MPYA: Shilole anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya | Masama Blog


Video MPYA: Shilole anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya

Ni October 5, 2016 ambapo Shilole anaziandika headlines kwenye Bongo Fleva kwa kuachia video mpya ya  single iitwayo Mtoto mdogo aliyomshirikisha mkali wa nyimbo za Singeli maarufu kama Man Fongo. imetayarishwa na director Khalfani.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200