Mwimbaji staa kutoka Marekani Chris Brown amewasili Mombasa nchini Kenya kwa ajili ya kutumbuiza leo October 8, 2016 kwenye tamasha lililopewa jina la Mombasa Rocks Festival ambapo jukwaani atasindikizwa na wakali akiwemo Alikiba, Vanessa Mdee, Navio, na wengineo.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi alivyowasili Hotelini baada ya kutua Mombasa nchini Kenya

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top