Ujumbe Mzito alioandika Rihanna kwa Wapenzi Wake wa Zamani | Masama Blog

Ujumbe Mzito alioandika Rihanna kwa Wapenzi Wake wa Zamani

Msanii wa miondoko ya RnB, Rihanna ameandika ujumbe mzito kwa ma ex wake ambao amewahi kutembea nao, kupitia kurasa yake ya Instagram Rihanna ameandika kwamba Hakuna hata moja ya maex wake ambao wameoa au kufurahia mahusiano yao, ukicheki huu ujumbe unaonekana ni Direct diss Kwa mnyamwezi Breezy maana since watemane Breezy hajawahi kuwa na Mahusiano ya uhakika.

Back To Top