Ticker

10/recent/ticker-posts

U HEARD: Mapenzi ya Barakah Da Prince na Najma kimenuka tenaaa..

Kupitia U Heard ya XXL leo October 7, 2016 Mtangazaji Soudy Brown kutoka Clouds FM amezungumza na kijana mmoja aliyejiita Rogers ambaye amedai ni mdogo wa star wa hit single ya Nisamehe Barakah Da Prince na kueleza kuwa mapenzi kati ya kaka yake na Najma hayako sawa.
Kwa mujibu wa Rogers ameeleza kuwa Barakah Da Prince na Najma hawako poa kama zamani baada ya kutokea kukosa maelewano kati yao na sababu ikitajwa kuwa Najma ndiye tatizo kutokana na kutowapenda ndugu wa Barakah na imeshatokea mpaka mama yake na Barah amekuwa akilalamika sana kuhusu uhusiano huo.
>>>Kilichotokea wiki iliyopita Najma alikuja na kuingia nyumbani kama saa 4 usiku mpaka nikashtuka ameingiaje, alimkuta dada ambaye aliletwa na kaka akauliza huyu ni nani? nikamwambia ni dada wa kazi ameletwa na kaka akingia chumbani akakuta pochi ya kike akauliza ni ya nani nikasema ni ya dada yetu akaitoa akaiweka chumbani kwangu.
Ikabidi nimwambie kaka alikua kwenye Interview akaanza kunitukana akaanza kunitukana kwanini Najma ameingia ndani, kwanini umemfungulia mlango nikasema sio mimi akanambia mwambie kaka amesema harudi na hata akirudi halali na wewe kwanza mtukane aondoke. Nikaenda chumbani kwao nikamwambia mwambia kaka amesema harudi hapa na uondoke haraka, Najma akakasirika akaondoka:- Rogers 
ULIPITWA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA