October 5, 2016 Nakusogezea hii kutoka Nigeria mtu wangu. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametoa agizo kwa mamlaka ya usafirishaji nchini Nigeria kuzipiga mnada ndege mbili zinazotumika na Rais wa nchi hiyo ikiwa ni sehemu ya kupunguza matumizi mabaya ya pesa za Umma na ubadhirifu serikalini.
00361237-e531eca5c9984a0e21f31729c603ea1d-arc614x376-w1200
00361237-e531eca5c9984a0e21f31729c603ea1d-arc614x376-w1200
Kwa mujibu wa shirika la habari AFP limezungumza na msemaji wa Rais wa Nigeria, Garba Shehu, ambaye amesema ndege hizo mbili kati ya 10 zinazotumiwa na rais wa nchi hiyo zitauzwa kama sehemu ya kubana matumizi yasiyokuwa na ulazima.
Serikali ya Nigeria imeweka tangazo magazetini kwamba inauza ndege hizo mbili, moja ikiwa ni aina ya Falcon 7X na nyingine ni Hawker 4000.
Taarifa ya msemaji wa Rais inasema Buhari mwenyewe ndiye aliyeidhinisha kuuzwa kwa ndege hizo huku akitoa agizo kuwa baadhi ya ndege nyingine za rais zikabidhiwe kwa jeshi la anga la nchi hiyo

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top