SHILOLE KIUNO AFUNGUKA KUHUSU PENZI LA MSANII LINAH | Masama Blog


SHILOLE KIUNO AFUNGUKA KUHUSU PENZI LA MSANII LINAH

Ni katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha akila busu kali kutoka kwa mpenzi wake mpya. 
Picha iliyopostiwa na mwanadada Linah
Shilole hakutaka kusubiri hata dakika ipite baada tu ya kukutana na picha hiyo, na kuamua kuacha ujumbe mzito kwenye uwanja wa comments kuhusu penzi hilo jipya la mwanadada Linah.Comment ya Shilole
Ninachotaka tukijadili mimi na wewe mshkaji wangu ni hiki hapa-: Vipi kuhusu zile picha na mavideo ya mdogo wetu Hamadai? Au ndo ameshapewa cha mbavu? Au zilikuwa ni kiki? Niachie comment yako hapa chini kwenye uwanja wa comments.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200