Rihanna channels Africa touches with her pink Gele | Masama Blog


Rihanna channels Africa touches with her pink Gele

Rihanna channels Africa touches with her pink GeleBaada ya Lupita Nyong’o ku rock malemba kwenye premier ya movie ya Queen of Katwe around the world ,Rihanna nae is taking her fashion sense forward kwa ku rock Gele /Lemba kitaani Perfect look for a wedding guest may be ita trend sasa, Am sorry ila ni Photoshop tu ile ,alivaa this dress mwaka jana

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200