RAPA DARASSA KUACHIA KOLABO YAKE NA CHRISTIAN BELLA | Masama Blog


RAPA DARASSA KUACHIA KOLABO YAKE NA CHRISTIAN BELLA

14723028_1855290848027097_332824463240331264_n
Rapper Darassa amefunguka kuwa muda si mrefu atakuja na collabo yake na Christian Bella.
Akiongea na kipindi cha Clouds Top 20 cha Clouds FM, Darassa amesema kuwa amefurahi kusikia kuwa Bella anamkubali sana kwa hiyo mashabiki watarajie kazi yao ya pamoja.
“Jana [Jumamosi] tulikuwa tumekaa sehemu nikasikia mtu anasema kuwa Christian Bella ananikubali sana, hata mimi ni shabiki wake mkubwa. Tumepanga kufanya collabo, mashabiki wasubirie kitu kikubwa,” amesema Darassa.

Kwa sasa Darassa ni mmoja kati ya rapper wa kizazi kipya ambao kazi zao zinafanya vizuri kwenye Redio na TV mbalimbali.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200