October 7, 2016 mtu wangu wa nguvu nakusogezea picha 12 zikumuonesha star wa soka duniani, David Beckham akiwa na familia yake nchini Kenya wakishiriki kampeni ya Beyond Zero inayosimamiwa na First Lady wa Kenya Margaret Kenyatta.
Picha zinamuonesha Mke wa Beckham, Victoria akiwa maeneo ya Kiambu siku ya Alhamisi akiongozana na mtoto wake wa kiume BrooklynVictoria Beckaham ambaye ni Balozi wa UNAIDS ametoa msaada wa Mobile Clinic na Gari moja ya kubeba wagonjwa.
be1
be2
be3

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top