Mtoto wa Bilionea wa China Amnunulia Mbwa Wake iPhone 7 nane!..Shuhudia hapa | Masama Blog


Mtoto wa Bilionea wa China Amnunulia Mbwa Wake iPhone 7 nane!..Shuhudia hapa

Wang Sicong, mtoto wa bilionea wa China, Wang Jianlin (mwenye utajiri wa dola bilioni 30), amemnunuliaa simu mpya, iPhone 7, nane mbwa wake.

Mbwa huyo aitwaye, Coco ameonekana kwenye picha za akaunti yake ya mtandao wa Weibo akiwa na simu zake hizo. “I don’t understand all the show-off posts on (social media),” yanasomeka maneno kwenye picha hiyo. “What’s the point? Don’t make me do it?”


BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200