Ticker

10/recent/ticker-posts

MSIKIE HAPA SUPERSTAA DIAMOND PLATNUMZ AKIFUNGUKA HAYA KUHUSU UGOMVI WA MAMA YAKE NA ZARI


Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao

Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedi kuwa watu wanadi hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri