Picha hiyo ilisababisha watu wamshambulie Kehlani kwenye mitandao ya kijamii kuwa amemsaliti mpenzi wake. Matusi yalimzidia kiasi cha kujaribu kujiua. Baada ya kuokolewa na kulazwa hospitali, mrembo huyo alipost picha na maelezo kuhusiana na hatua hiyo kabla ya kuifuta akaunti yake ya Instagram.
Kwenye post hiyo, Kehlani ameandika: I wanted to leave this Earth. Being completely selfish for once. Never thought I’d get to such a low point. But don’t believe the blogs you read. No one was cheated on and I’m not a bad person. Everyone is hurt and everyone is in a place of misunderstanding. But as of today, I had no wish to see tomorrow. But God saved me for a reason and for that…I must be grateful. Cuz I’m not in Heaven right now for a reason. On that note, bye Instagram.
CHANZO na Bongo5.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top