Master J anaogopa watoto wake kufanya muziki | Masama Blog


Master J anaogopa watoto wake kufanya muziki

September 16 2016 nakukutanisha na hii ya Legendary Producer Master J ameeleza sababu za yeye kuwakataza watoto wake kuingia kwenye soko la muziki,  Master J amesema  kweli muziki wa sasa unaweza kukingizia pesa nyingi lakini amewakatataza watoto wake kuimba japo kuwa wana vipaji.
Unajua kwa mtoto wa kike mpaka kweli atoke kwenye huu muziki huwa wanapata shida sana unajua mimi niko kwenye hii indrustry kwahiyo nafahamu kila kitu watoto wa kike wanatumika sana mpaka watoke‘>>> Master J

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200