Mrembo wa Tanzania na Mwanamitindo Jokate Mwegelo, ameamua kuweka wazi mtu ambaye yupo tayari kufa kwa ajili yake ikiwa hamna namna. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Jokate amedai mtu Pekee ambaye yupo tayari kufa kwa ajili yake ni Mumewe.
 
Jokate Mwegelo
“Mume wangu” alimjibu swali Shabiki aliyemuuliza katika mtandao huo.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top