INSTAGRAM: Nilishakata tamaa, Ujumbe wa Rayvanny kwa Diamond Platnumz | Masama Blog


INSTAGRAM: Nilishakata tamaa, Ujumbe wa Rayvanny kwa Diamond Platnumz

Ni mwimbaji  staa wa bongofleva, Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu April 2016, ameingia kwenye  baada ya kufunguka kuhusu DiamondP latnumz kwenye instagram yake kama kutoa shukrani kwa staa huyo ambae yuko chini ya lebo yake.
Haya ndio maneno ya Rayvanny alioyaandika kama salam kwa Diamond Platnumz
>>>’Mengi yako Moyoni Mwangu.lakini kiukweli siamini hapa nilipo.nilikata tamaa,sikujiamini tena kama ntaweza kufika.kuna muda nilijiona sina bahati hadi nikaanza kuichukia sauti yangu.lakini wewe ulinishika mkono nakunionyesha njia mengi umenielekeza haukuishia hapo ukaona unipe nafasi tufanye kazi moja mimi na wewe#SALOME . Am so proud of you@diamondplatnumz #SALOME full video link in my bio
untitled

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200