HILI NDIO VAZI ALILOVAA STAA WEMA SEPETU KWENYE MISS TANZANIA | Masama Blog


HILI NDIO VAZI ALILOVAA STAA WEMA SEPETU KWENYE MISS TANZANIA


Hizi ni baadhi ya picha kutoka Miss Tanzania 2016, miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni Wema Sepetu, hizi picha zake tatu kwenye Red Carpet, Looking Beautiful as Always.Kwenye mashindano haya ya urembo alitangazwa mshindi Diana Edward Lukumaiambaye ni Miss Kinondoni 2016.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200