Hili ndilo Jukwaa atalotumbuiza Chris Brown, Wizkid, Vanessa Mdee na Alikiba leo Mombasa | Masama Blog

Hili ndilo Jukwaa atalotumbuiza Chris Brown, Wizkid, Vanessa Mdee na Alikiba leo Mombasa

October 8, 2016 historia ya burudani itaandikwa katika viwanja vya Golf Club October 8, 2016 Mombasa Kenya ambapo mwimbaji staa kutoka Marekani, Chris Brown atatoa burudani ya nguvu ambapo wengine walioalikwa ni Wizkid wa Nigeria, Alikiba na Vanessa Mdee wa Tanzania na Navio wa Uganda.
Itazame hii video hapa ujionee maandalizi ya jukwaa hilo

Back To Top