Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha vitu vilivyoahidi kwa Said Ally (Kijana aliyetobolewa macho) Buguruni Sheli anavipata.
Sasa ahadi hizo zimeanza kutolewa leo ambapo Bajaji mbili zimetolewa kutoka kwa Dkt (Syedna Mufaddal) ambae ni kiongozi wa mabohora duniani, makabidhiano hayo yamefanyika katika msikiti wa Mabohora uliyoko Upanga jinini Dar es salaam.
fgt56333
Baada ya kijana huyu kukabidhiwa bajaji hizo mbili aliyaongea haya>>Namshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda kwa kunisaidia, pia shukrani zangu kwa Clouds TV na Clouds FM kwa kunisaidia maana wao wamenipigania sana mpaka kufika hapa nilipo, vyombo vyote vya habari wananchi wote kwa maombi yao na michango yao kwa hali na mali.” 

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top